De Rabbits slick
Senior Member
- Mar 18, 2018
- 167
- 166
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.
Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria unaweza share ili kusaidia jamii yetu.
Lengo ni kujikwamu kimaisha.
Pia unaweza share mchongo+
Ushauri
Ahsanteni naomba kuwasilisha.
#Tupeane Michongo.
Shukran sana hakika mwandiko wako huu utamsaidia aliyekatika hali ambayo labda alishakata tamaa kabisa ya maisha na kujiona tena n binadamu.Mawazo mazuri! Kama kuna kijana/vijana graduates ktk Mass Communication/Journalism na wana excellent command ya english language naomba wanicheki Inbox! Kuna fursa ya kuandaa “Articles” mbalimbali kwa lugha ya kiingereza! Karibuni.
Hii ningependa kujua kama inaulazima kua graduate katika hiyo field au uwezo wa kufanya hiyo kazi ni sawa?Mawazo mazuri! Kama kuna kijana/vijana graduates ktk Mass Communication/Journalism na wana excellent command ya english language naomba wanicheki Inbox! Kuna fursa ya kuandaa “Articles” mbalimbali kwa lugha ya kiingereza! Karibuni.
Atafika kujibuHii ningependa kujua kama inaulazima kua graduate katika hiyo field au uwezo wa kufanya hiyo kazi ni sawa?
Kabisa kiongozi..Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.
Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.
Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
Pia kwa faida ya wengine hasa kwa walioko mikoani..Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.
Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.
Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
Hii ningependa kujua kama inaulazima kua graduate katika hiyo field au uwezo wa kufanya hiyo kazi ni sawa?
Sana mkuu ndiyo maana ya kupeana deals mkuu. Unaelewa wa kutosha kuhusu karatasi ? Na unajua aina gani ya karatasi? Lengo la masoko ni kupata wahitaji wakubwa hasa distributors.Pia kwa faida ya wengine hasa kwa walioko mikoani..
Je kuna uwezekano kwa ambaye anahitaji kuwa wakala wa bidhaa zako..?
Karatasi kama Ream papers?Sana mkuu ndiyo maana ya kupeana deals mkuu. Unaelewa wa kutosha kuhusu karatasi ? Na unajua aina gani ya karatasi? Lengo la masoko ni kupata wahitaji wakubwa hasa distributors.
Sawa mkuuSana mkuu ndiyo maana ya kupeana deals mkuu. Unaelewa wa kutosha kuhusu karatasi ? Na unajua aina gani ya karatasi? Lengo la masoko ni kupata wahitaji wakubwa hasa distributors.
Naaam bila shaka kwa mwenye mchongo bhasi asisite kumpa..Wanazengo me ni fundi umeme wa magari connection iwe binafs au company au garage yenye kazi za kutosha poa maana nina uwezo wa kupiga kazi 24hrs uzoefu wangu over 5 yrs ndani ya umeme wa magri popote nafanya kazi ndgu zang kwa sasa naishi bunju dar es salaam
Yupo njian kujibuKaratasi kama Ream papers?
Mkuu lim paper used sh ngP kwa kilo unauza?Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.
Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.
Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
Naam naamin imewafikia wahusika tegemea majibu mazuri..Ahsante mtoa mada kwa kutengenezea kiwanja cha kufahamiana na kupeana fursa...
Wakuu mimi ni mtaalamu wa masuala ya GIS yaani Geographical information systems. Kwa wale wenye uhitaji wa kutengenezewa ramani za maeneo mbalimbali kama maeneo ya miradi au kwa wale wanaofanya research kutengenezewa ramani za maeneo wanayofanyia research zao.....kwa huduma nyinginezo nyingi zinazohusiana na na GIS nicheki kwa namba 0764419107 au 0715681502.