Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Habari natafuta kijana / binti wa kuuza juice kwa kutembeza
Mshahara ni makubaliano
Awe mchangamfu na aipende hiyo kazi,
Mahali ni Dodoma
Any one interested PM please for more information
Ndugu zangu mchongo huu kwa aliyekododoma.
Changamkia fursa.
Mtaarifu na mwenzio.
 
Natafuta kijana mtaam wa kuandaa mabango ya 3d na anae jua car branding na shell mshahara mzur na ofis ipo kanda ya ziwa
Mchongo huu kwa wataalamu wa mabango wa 3D kazi hiyo hapo tuchamkie fursa.

Location Kanda ya Ziwa.

#Tupeane Michongo
Tupeane michongo
 
Habari

Nnashahada ya mioango na usimamizi wa mazingira na pia nimejitolea katika mashirika binafsi kwa miaka minne 4
Pia nnaujuzi wa vitu vifuatavyo
1.project planning and management
2.monitouring and evaluation
3.Proposal writing
4.data collection and analysis
5. Resoirce mobilozation
6.Community mobilization
7. Environmental Impact assesment
8. Environmental auditing
And ETC

kwa sasa nipo Sumbawanga hivo kama kunamtu anaweza kunipa connection ya ajira/kibarua iwe ya muda mrefu au mfupi niko tayari kwa mida na wakati wowote bila kujari mahali fulsa hiyo ilipo.

Ahsante [emoji120]
 

Ma Qs hawajitoleagi for free aiseee... ukikosa hata kwa mchina kuwa freelancer..
 
Aah kiongozi nmepitia kazi zako uko na talent kubwa sana naona kesho yako ipo juu sana. Mungu akuongoze sahihi kufikia kesho yako.


Pia kuna mchongo ametoa mtu hapa kama unajua kudesign mabango ya 3D kazi ipo na Ofisi ipo kanda ya ziwa na ameahidi malipo mazuri.


Changamkia mchongo
Changamkia fursa

Tuendelee kupeana michongo+
 
Karibu sana kiongozi kwenye jamvi hili.


Ndugu zangu, ndugu yetu huyu anahitaji mchongo tusisite kumsanua kama mchongo upo mahali ili aweze kujikwamua kimaisha.

Anaujuzi na uzoefu kwa muda tajwa hapo juu kwa kujitolea katika mashirika kadhaa yasiyo ya kiserikali.

Hivyo bhas tusisite kumpatia mchongo.


Shukran sana

Na tuendelee kupeana michongo na kuchangamkia fursa.
 
Mawazo mazuri! Kama kuna kijana/vijana graduates ktk Mass Communication/Journalism na wana excellent command ya english language naomba wanicheki Inbox! Kuna fursa ya kuandaa “Articles” mbalimbali kwa lugha ya kiingereza! Karibuni.
UKihitaji translations za hizo articles kutoka kiingereza kwenda Kijerumani tuwasiliane
 
Ukihitaji site yako ipate ranking nzuri kwenye search engine tuwasiliane ila kuanzia mwezi ujao
 
Shukran nadhan ingependeza zaidi ukatoa maarifa ili wahitaji wachangamkie fursa.
Hata Mimi nimeandika humu Mara nyingi kuhusu crypto lakini mwitikio mdogo sijui tatizo ni nini. Majuzi tu nimeandika kuhusu Presearch na wiki mbili tu baadae thamani yake imepanda zaidi ya mara mbili. Watu walidharau Bitcoin hivihivi Sasa haikamatiki Tena.
 
Hallow!!!
Kwa ambaye anafani ya uandishi wa kusimamia project za taasisi na uandishi wa proposal. Na upo interest kuonyesha uwezo wako.
Tuwasiliane PM tuweze kupiga kazi tuinue NGO bado mpya na imesajiliwa kisheria ngazi ya kitaifa, michongo ipo ndani ya taasisi karibu tushirikiane.
 
Kama vivutio gani?
 
Mi naomba kazi jmn kwa mwenye connection ya waandishi wa article za kiswahili kama phonix ,opera na nyingine nyingi za kiswahili , nambeni kwa anaejua aniunganishe nami niandike articles zangu huko, nisaidieni jamani sina ajira
Article za phoenix na opera ni article za aina gani?
 
Wakuu kwema?kama jina langu linavyojionesha nafanya welding & aluminium


Natengeneza madirisha ya chuma na ya alluminium hata mikoan tunafanya kazi karibuni

0656434650
 
Habari wapendwa nlikuwa naulizia kama kunamtu anajua jinsi ya ku apply scholarship process zote.. anitafute au kama unajua sehem wanapo apply
 
Wakuu kwema?kama jina langu linavyojionesha nafanya welding & aluminium


Natengeneza madirisha ya chuma na ya alluminium hata mikoan tunafanya kazi karibuni

0656434650
mkuu naomba niwe kijana (msaidizi) wako tafadhali nakuomba nisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…