Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Mchongo
T-SHIRT PRINTING SQUAD
TUNAPRINT T-SHIRT ZA SHULE KWA BEI NAFUU TUNAPATIKANA MOROCCO DAR ES SALAAM WhatsApp 0784214792 au piga 0620431296
°°°°°T-SHIRT ZA ROUND NECK°°
¶T-shirt za Chekechea pamoja na kuprint 4,000/=
¶T-shirt za Primary pamoja na kuprint 5,000/=
¶T-shirt za Secondary pamoja na kuprint 6,000/=
°°°°T-SHIRT ZA KOLA AU FORM SIX°°°°
¶T-shirt za Chekechea pamoja na kuprint 6,000/=
¶T-shirt za primary pamoja na kuprint ni 7,000/=
¶T-shirt za Secondary pamoja na kuprint 8,000/=
NB: Kuprint tunaanzia pc 10
OFA hii itadumu kwa mwez mzima kuanzia 16/11/2021 Hadi 16/12/2021
KARIBUNI SANA
 
Ajira amna tujuzane mkuu
 
HABARI WANA JF MM NI KIJSNA NIMESOMA DIPLOMA YA PHARMACY (PHARM TECH,) NIPO SHINYANGA MJINI NSOMBS MWENYE CONNECTION YA KAZI AU KUNIPA KAZI YOYTE YA KUNIPATIA KIPATO HALALI NAOMBA KUWASILISHA

namba yangu 0718927103
 
HABARI WANA JF MM NI KIJSNA NIMESOMA DIPLOMA YA PHARMACY (PHARM TECH,) NIPO SHINYANGA MJINI NSOMBS MWENYE CONNECTION YA KAZI AU KUNIPA KAZI YOYTE YA KUNIPATIA KIPATO HALALI NAOMBA KUWASILISHA

namba yangu 0718927103
Ni mpharmacia anadiploma ya pharmacy anaomba mchongo wa ajira ndugu zangu

Tupeane michongo.
Tupeane michongi
 
Ndugu zangu naombeni mchango Nina shahada ya sociology Nina uzoefu wa kazi pia
 
I need same connections, ulipata mchongo??
 
Njoo PM, nitumie namba yako nikupigie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…