Uzi kwa ajili ya mabachelor

Uzi kwa ajili ya mabachelor

Napenda kula vyakula ninavyopika mimi mwenyewe, actually maisha ya u bachelor huwa nayafurahia ule muda nikirudi nyumbani sikutani na mtu kwenye chumba changu aanze kuniuliza maswali, infact huwa sipendi kuulizwa maswali, hata kuniuliza 'utakula nini' kwangu huwa ina sound offensive. Naweza kula chochote muda wowote nitakoa, pia naweza kurudi nyumbani muda wowote nitakao. PEACE of mind
 
Okay me nitaanza na changamoto:

(1) Usafi unatutesa sana. Kuanzia usafi wa nyumba, nguo na mashuka/mapazia.

Solution:
Kumpa mama fua nayo risk kwasababu wale wanafanya usafi hadi wa mwili ukileta nyege unakuta umemla.

Ukiwa na pesa nunua washing machine na vacuum cleaner. Vinasaidia sana.

Na kamwe, usilie chips ghetto na kama unapika usiseme vyombo nitaosha kesho.

Mende wanatusumbua. Unakuta ukiwa peke yako hawaonekani ila punde wageni wakija those fuckers zunaruka ruka na mabawa sebuleni ova vipepeo.

Hapa hapa pia kuna issue ya kupanga ghetto, aisee tunakuaga na maghetto ya ovyo sana. Yaan utakuta sehemu ya nguo safi na chafu haijulikani na siku nyingine unakuta sox jikoni, Sufuria kwenye kochi.

(2) Tatizo la pili kubwa ni msosi. Bachelor tunakula vibaya sana especially msosi wa jioni.

Hii wahanga wakuu ni sisi ambao hatupiki, aisee maisha aya.

Me naomba serikali itusaaidie. Asante.
 
😂😂Sasa si muoe
 
Back
Top Bottom