Uzi kwa ajili ya mabachelor

Uzi kwa ajili ya mabachelor

Kwenye suala la mapenzi kuna wakati ni changamoto sana
Una vinu vyako kadhaa sijui ni shetani anakuwa ana ingilia kati ama vipi
Kila utakaye mcheki ana udhuru baasi usiku kucha unalala mikono ndani ya shuka unachezea 🍒 tuu
Hahaha tabia yangu hiyo

N.b mi sio bachelor
 
Okay me nitaanza na changamoto:

(1) Usafi unatutesa sana. Kuanzia usafi wa nyumba, nguo na mashuka/mapazia.

Solution:
Kumpa mama fua nayo risk kwasababu wale wanafanya usafi hadi wa mwili ukileta nyege unakuta umemla.

Ukiwa na pesa nunua washing machine na vacuum cleaner. Vinasaidia sana.

Na kamwe, usilie chips ghetto na kama unapika usiseme vyombo nitaosha kesho.

Mende wanatusumbua. Unakuta ukiwa peke yako hawaonekani ila punde wageni wakija those fuckers zunaruka ruka na mabawa sebuleni ova vipepeo.

Hapa hapa pia kuna issue ya kupanga ghetto, aisee tunakuaga na maghetto ya ovyo sana. Yaan utakuta sehemu ya nguo safi na chafu haijulikani na siku nyingine unakuta sox jikoni, Sufuria kwenye kochi.


(2) Tatizo la pili kubwa ni msosi. Bachelor tunakula vibaya sana especially msosi wa jioni.

Hii wahanga wakuu ni sisi ambao hatupiki, aisee maisha aya.

Me naomba serikali itusaaidie. Asante.
Msosi wa jioni kweli changamoto inafika saa 5 haujui ule nini..
 
Back
Top Bottom