Uzi kwa ajili ya wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu

Swali! ...je! Ukiwekeza hyo millioni 30 mwisho wa siku shimo lisitoe dhahabu inakuwa imekula kwako au? Nimeuliza ivi sababu nataka kujua jinsi mnavyo manage risk
 
Aaaaaah ni kweli unaweza kuitupia na isiludi mara nyingi tunatafiti mwamba kama upo halafu ndo’tunaendelea na uchimbaji mkuuuu
 
Hakuna Biashara ngumu duniani kila kitu kujifunza ila biashara ya dhahabu cha kwanza inabidi uwe intelligent hata Kama haujasoma inabidi uwe mjanja kupindukia main reason (hatuna vifaa vya kuweza kutambua Kama katika mwamba huu kuna dhahabu kiasi fulani na kutokana na gharama ntapata faida au hasara kiasi Fulani )

Vifaa vipo ndugu yangu, sema labda wewe huvijui tu. But ukituona professionals tunaweza kukusaidia, provided uwe na mtaji na willingness to engage professionalism kwenye mradi wako.
Karibu.
 
Mkuu unaweza kutupia picha ya dhahabu ambayo bado haijapitishwa kwenye moto maana wengine huwa tunapita maeneo yenye dhahabu ila hatuzijui huwa zinaonekana vipi kabla ya kupita kwenye moto.
 
Mkuu vipi kuhusu kiwango cha mtaji wa kununua dhahabu Geita na kuuza kwa wafanyabiashara wakubwa Mwanza au Dar ama mkoa mwingine walipo?

Vipi kuhusu vibali vya kufanya biashara hiyo au hakuna ulazima wowote kama unaanza biashara bila kuwa na kampuni?
 
Mkuu kiwango cha kuanzia unaweza kuanza hata na Million mia moja 100,000,000/= na kujikuta unamtandao mpana tu.
 
Mkuu kuhusu leseni ni haraka unafuata maelekezo tu ya Ofisi ya madini mkuuu.
Kama ulikununua stone crusher zile za kienyeji(zile zinazo tumia diesel) na ukapeleka kwa wachimbaji wadogo unaweza kupata pesa?
 
Nikinunua dura alafu nikaanzisha mwalo kwa mtaji wa 12M itachukua mda gani biashara kuanza kujiendesha?
Inategemea na Uzarishaji wako na kiwango cha DHAHABU kilichomo kwenye mchanga/Duara......kama una source ya maji unaweza kuwaalika watu wengine Watumie Mwalo wako kuoshea then wewe unabaki na Kifusi...

Inaweza chukua miezi 6 mpaka mwaka 1 kuwa na kifusi cha kutosha Kuuza ama kuozesha mwenyewe.
 
Sawa mzee baba
 
Mkuu unaweza kutupia picha ya dhahabu ambayo bado haijapitishwa kwenye moto maana wengine huwa tunapita maeneo yenye dhahabu ila hatuzijui huwa zinaonekana vipi kabla ya kupita kwenye moto.

Nitapiga picha na nitakutumia mkuu
 
Back
Top Bottom