HUKU ABROAD
Senior Member
- Nov 20, 2020
- 127
- 218
nimesahua mkuu dahhUnafeli mkuu unadhani humu mademu wote wana kujua hujawawekea location upo mkoa gani vijana wa mjini mkipata hela mna tabu halafu zikiisha baadae mnaenda kwenye jukwaa la ajira.
nilishawahi date na mwanamke mnene , tukigombana ananipiga seriosSasa sisi tusio wembamba Itakuwaje?
🤣🤣nilishawahi date na mwanamke mnene , tukigombana ananipiga serios
unafikiri mazuri unacheka ... nilikabwa mimi mpaka nikasema basi umeshinda mama.... nilimkimbia nimemwachia kila kitu ndani nimeama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilishawahi date na mwanamke mnene , tukigombana ananipiga serios
picha yangu auWeka picha mkuu nifanye tathmini
Usikubari kuishi na Mwanamke mwenye sifa za kiume.nilishawahi date na mwanamke mnene , tukigombana ananipiga serios
sio kiherehere mwanangu , mwanamke mkurya alafu ni mnene ana manguvu kinoma , ametokea kwenye ukoo wa wanajeshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa ulikuwa na kiherehere sana..
Hatupendagi hizo Mambo[emoji28]
kweli kaka asante sana kwa ushauriUsikubari kuishi na Mwanamke mwenye sifa za kiume.
Tafuta Mwanamke mwenye sifa za kike kike hasa.....
Ilikuwaje ukawa nae hukuwa unamuona mwazoni .sio kiherehere mwanangu , mwanamke mkurya alafu ni mnene ana manguvu kinoma , ametokea kwenye ukoo wa wanajeshi
poleunafikiri mazuri unacheka ... nilikabwa mimi mpaka nikasema basi umeshinda mama.... nilimkimbia nimemwachia kila kitu ndani nimeama
Ilikuwaje ukawa nae hukuwa unamuona mwazosikujuia tabia zake mwanzoni
nitamlipa laki moja kila mwisho wa mwezi ili mambo yake madogo madogo yasimsumbue kama kwenda saloon na mambo mengine hiyo ni tofauti na pesa ya kula na matumizi ya nyumbanipole
Wadada wa siku hizi wanapenda sana pesa, umejipangaje?