Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

HUKU ABROAD

Senior Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
127
Reaction score
218
Nimeanza maisha , sina mwenza wa kuishi nae , uwezo wa kugharamia ninao , ila tu nataka mwanamke ambae anaweza kupika na kufua nguo vizuri ... nikifanikiwa kumpata nitamsaidia kwa hali na mali ..
ikiwezekana ntamfundisha na kazi ili asikae kizembe ..
Kama kuna mdada yupo single .. basi uzi hu wako njoo dm tuyajenge
 
Unafeli mkuu unadhani humu mademu wote wana kujua hujawawekea location upo mkoa gani vijana wa mjini mkipata hela mna tabu halafu zikiisha baadae mnaenda kwenye jukwaa la ajira.
 
Unafeli mkuu unadhani humu mademu wote wana kujua hujawawekea location upo mkoa gani vijana wa mjini mkipata hela mna tabu halafu zikiisha baadae mnaenda kwenye jukwaa la ajira.
nimesahua mkuu dahh
 
Kumbe hapo shida sio huo ubonge, nitabia yake yakukupiga pole mkuu.
 
Back
Top Bottom