Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

nitamlipa laki moja kila mwisho wa mwezi ili mambo yake madogo madogo yasimsumbue kama kwenda saloon na mambo mengine hiyo ni tofauti na pesa ya kula na matumizi ya nyumbani
Huyo ni mke au house maid?
 
nitamlipa laki moja kila mwisho wa mwezi ili mambo yake madogo madogo yasimsumbue kama kwenda saloon na mambo mengine hiyo ni tofauti na pesa ya kula na matumizi ya nyumbani
Na je hiyo laki moja itakuwa inapanda katika kila mwaka mpya wa fedha au miaka yote itabakia hapo?
 
umeuliza nimejipangaje kuhusu pesa si ndio , maana yake hata nikimuoa hatojali ndoa atajali pesa so kuwa house gal au mke ni yeye maamuzi yake .. ila mi nataka tu mchumba awe simple tu
 
Na je hiyo laki moja itakuwa inapanda katika kila mwaka mpya wa fedha au miaka yote itabakia hapo?
ohhh mambo yatabadirika taratibu , ntakuwa na mpango maalum ambao ntatoa pesa ya biashara ambayo itazunguka na faida yake ndio itakuwa pesa yake , so kuhusu kupanda pesa itapanda kila siku
 
Sasa kama ushapigwa unadhani kwanini usipigwe tena .Mapenzi sio yawatu dhaifu.
ugomvi mwingi unatokea kwa sababu ya wivu na sio chengine , mi ni mtu sipendi kuonja onja kila sehem , napenda nionje sehem moja alafu nna ganda hapo happo kama sumaku .. sasa mwenzangu hana uaminifu na mimi kabisa

simu yangu alikua anakaa nayo nikiwa nae nyumbani
, ali kuwa anapokea simu zangu zote
 
Aisee basi sawa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…