Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Huyo ni mke au house maid?nitamlipa laki moja kila mwisho wa mwezi ili mambo yake madogo madogo yasimsumbue kama kwenda saloon na mambo mengine hiyo ni tofauti na pesa ya kula na matumizi ya nyumbani