Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Cha sasa roho ngumu inaingiaje hapa labda
 
Asante mkuu maana huyu nilie nae kashanichosha sana
 
Kuna mwanamke hata umfumanie huwezi kumuacha na huna huo uwezo kuwa mpole tu dawa ikuingie
Kama una mfumania mwanamje alaf ww ndio bado unakuwa tahira kwake. Badi utakuwa bonge la dhaifu
 
He was waiting for a right time to strike.
 
Unataka ugomvi na watu wewe,watu wengi hawajaoa mabikra
 
Last time I checked she was charting with her boyfriend and I was f@kn her..don't have time for shit like dos
 
Kama mtu unayetaka kumspy huko mbali utafanyaje ili kufanikiwa??
 
Ahsante mkuu hii itasaidia kupumguza maambukizi ya ukimwi.
 
YA NINIYOTE HAYO!
kama HUMTAKI MTU MUACHE TU!SEPA BASI!
 
Kila ninapojaribu kudownload inaniandikia invalid link nifanyeje??
 
Nawashauri wana JF acheni mchezo huo wa kufuatilia,kama unaweza mnyanganye simu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…