Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,008
Hallow wanajf, Nimepata PM nyingi sana za wadau wa jf na zote zilitokana na comment yangu kweny uzi wa mwanajf mmoja aliyekuwa anamfatilia mpenz wake kwa njia ya whatsapp Web, wengi walitaka kufahamu zaidi njia nyingine. Nami nimeona kwa kuwa siwezi jibu kila anayekuja PM nikaona niweke hapa jamvini.

Kwanza kabsa itambulike kuwa kuchunguza simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake ni kosa kisheria na kuingilia uhuru wa mtu kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuwa na privacy zake.

Njia hizi za kutrack simu hutumika zaidi kufuatilia mtoto mdogo ambaye yupo chini usimamizi wako zaidi ya hapo Do it for your own risk.

Mahitaji ya jumla
Lazima unayetaka kumtrack awe na simu janja hapa naamanisha Android,
Hakikisha kwenye simu ya mlengwa umeenable unknown sources ili kuinstall apps nje ya Google play. Hakikisha simu ya mlengwa ina connection ya Internet wakati unafanya installation.
Hakikisha unaficha App.
(1)Fungua browser yoyote kisha nenda Google search andika neno The truth spy apk kisha click search itafunguka.

(2)Zitatokea nyingi sana angalia iliyoandikwa the truth spy installation chini yake kuna neno ANDROID limeanza click hiyo itafunguka.

(3)Ikifunguka utaona neno Download version 7.5) sio lazima ikuletee namba hiyo hapo inategemea na version uliyoikuta click neno hilo download.

(4)Ukisha install hiyo app utafungua hiyo app, ukifungua utaona neno Next click hapo utaona Register new account.

(5 Baada ya hapo utaona Agree kubali hapo kisha itafunguka utaona sehemù email, hapo weka email yako wew na si yake kisha weka password kisha confirm password zako.

Ukimaliza hapo next itafunguka Activate hiyo account, itakuja sehemu imeandikwa HIDE APP ICON fanya hivyo kuificha ili isionekane.

6)Ukimaliza hapo itafanya configuration baada ya hapo umemaliza na mrudishië simu yake kama ukiwa serious hata dakika tatu haiziishi..

7) Kaa baada ya muda fulani ili aweze kuwasiliana na kuchati ujinga wake na mambo mengine, kisha ww kwa muda na kwa maamuzi yako katika simu yako andika Thetruthspy.com ikifunguka angalia juu upande wa kulia utaona neno sign in click hapo ingiza email yako na passrd ulizoziandika muda ule kule hapo itafunguka na angalia upande kushoto chini utaona SMS, call history na vingine vingi, hapo utakuwa unaamua mwenyewe ni muda gani uangalie.

ANGALIZO
Kama unampenda usifanye hii, ila kama unamtafutia sababu ya kumuacha ruksa kufanya. HAKUNA MKAMILIFU HAPA CHINI YA JUA.

Mlale unono.
 
All this for what?

Unajua bana, kuna vitu huwa tunachukulia poa. Kama trust. Yaani wewe kabla ya yote, can you be trusted? Hata Yesu alisema, you need to first remove the log in your eye before you embark on removing your neighbour's.

If you are trustworthy and loyal then you never need to stoop low in the name of love.
 
binadamu walivyo wabishi wapo ambao watataka kufanya huu mchezo wakati mahusiano yao yapo vizuri kabisa...

acha wajitafutie ugonjwa wa moyo, mm acha niwe mpenzi mtazamaji tu.

asante chief
Siwezi jaribu hii kitu.... Najifahamu[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji298] [emoji621] [emoji298] [emoji621] [emoji298] [emoji298]
 
Mimi huwa naendelea kuwashauri wanaume wenzangu, kama ulimkuta mkeo na bikra Fanya hivyo, lakini kama hukumkuta Nayo ujue mkeo alitolewa bikra na kidume Fulani ndicho ambacho kimekutengenezea njia ya kupita so, usiwe na hasira na haina maana kumchunguza. Maana ulikubali kumuoa akiwa hivyo
 
binadamu walivyo wabishi wapo ambao watataka kufanya huu mchezo wakati mahusiano yao yapo vizuri kabisa...

acha wajitafutie ugonjwa wa moyo, mm acha niwe mpenzi mtazamaji tu.

asante chief
Hao watakuwa wanajitafutia presha zinazoepukika
 
All this for what?

Unajua bana, kuna vitu huwa tunachukulia poa. Kama trust. Yaani wewe kabla ya yote, can you be trusted? Hata Yesu alisema, you need to first remove the log in your eye before you embark on removing your neighbour's.

If you are trustworthy and loyal then you never need to stoop low in the name of love.
Curiosity killed a hyena [emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom