Uzi maaalum kwa malalamiko ya huduma za mitandao ya mawasiliano nchini

Uzi maaalum kwa malalamiko ya huduma za mitandao ya mawasiliano nchini

ven1965

Member
Joined
May 11, 2018
Posts
74
Reaction score
143
Habari za wakati huuu wana JF . poleni na mihangaiko ya hapa napale.
bilakuopteza muda niende kwenye mada moja kwa moja.

Huduma za mitandaooo hapa nchini zimekuwa nachangamoto mbalimbali saaana kuanzia huduma za mawasiliano mpaka za kifedha . kwanamna moja ama nyingine wahusika wanakuwa wazito kutatua changamoto hizo.Hivo basi huu uzi utasaidia kuzipigia kelele changamoto hizo mpaka zitatuliwe na ziiishe kabisa na hiii itasaidia katika kuboreka kwa huduma za kimitandao nchini.

Naomba kuwasilisha
 
Mimi nalalamika na voda kwa kuondoa huduma ya kuongea na Mhudumu moja kwa moja through Main menu kama zamani, yaani mpaka upitie vichochoroni hukoo,

Mbaya zaidi mpaka kwenye huduma za msingi kama M-pesa ambazo mtu anahitaji msaada wa haraka, wao wanakuongelesha kupitia ki robot chao walichokikaririsha..

Huwezi ona hii kero mpaka yakukute...

Tigo Nao juzi nimekwangua vocha yangu nimeweka mezani wamepita nayo.
 
Naanza na Tigo
Hawa jamaa ukijiunga kifurushi chao cha social, kwenye FB video zinaplya kwa shida kinoma ila ukiunga MB za kawaida zina play vzr.

Hapa nahisi kuna wizi fulani unatumika, tigo ni wezi sana.
 
Reyzap voda ukitaka kuongea naooo wafuate pale wanaposema kwa masuala ya M-PESA huko ndiko utawakuta
 
Mi lalamiko langu ni kwa voda jana SAA 5 usiku nilijiunga GB1 asubuh nkaingia jf kidogo tu nkaaaambiwa kifurushi chako kimeisha nawapigia simu wanasema et jf inamaliza bundle yaaan wakati kwenye smu yang miaka nenda rudi jf ndo inakula data kidogo halafu ukiangalia hata data usage haifiki 1gb
 
TTCL...Wana bundle la Bandika Bandua la internet,aisee ni shida....slow as much as upuuzi,siku likiamua kugoma,linagoma mazima,buffering kufa mtu...
 
TTCL...Wana bundle la Bandika Bandua la internet,aisee ni shida....slow as much as upuuzi,siku likiamua kugoma,linagoma mazima,buffering kufa mtu...
Aiseeee aooo ndo hta awaeleweki kabisaa yaani
 
Halotel bana ni shida wanakupa GB 1 kwa buku week ila sasa Yani internet yao inashika usiku tu na asubuhi mpaka nacheka 🤣🤣🙉
 
Voda ni Wapuuzi sana jumatatu niliishiwa Salio nkaamua Kukopa kwa vile sidaiwi hivyo basi nkawakopa sh. 1000 pamoja na ada 200 nkaon isiwe shida ntawalipa..

Baada ya Kukopa hio Elfu moja nashangaaa Salio walilo nipa ni sh.500 na nkaenda kuangalia Salio ninalo daiwa ni sh.1200 sasa nkabaki nashika Shavu tuh na kushangaa Aseeh waliniuzi sana.

VodaCom kuweni makin
 
Back
Top Bottom