Huu ni uzi special kabisa kwa watu wenye siku mbaya..au mambo hayajaenda vizuri kwenye siku husika,unaruhusiwa kuja hapa na kutema nyongoo zako mods wataelewa tu.....
Ule utafiti wa 1 kati ya wanne ni vichaa nimeuthibitisha mwenyewe Jana ningekuwa na mguu wa kuku ninge wa shuti za miguu mashabiki wa simba Jana ilikuwa siku ngumu sana