Uzi maalalum kwa watu wanaopitia siku mbaya

Uzi maalalum kwa watu wanaopitia siku mbaya

Jumatatu
Jumanne
Jumatano
Alhamisi
Ijumaa
Jumamosi na
Jumapili.
siku zote ni murua kwangu
 
Na tulio chana mikeka tunaruhusiwa kutema nyongo kwa muhindi hapa
 
Ule utafiti wa 1 kati ya wanne ni vichaa nimeuthibitisha mwenyewe Jana ningekuwa na mguu wa kuku ninge wa shuti za miguu mashabiki wa simba Jana ilikuwa siku ngumu sana
 
Back
Top Bottom