Uzi maalamu wa matukio yaliyogonga vichwa vya habari mwaka 2020

Uzi maalamu wa matukio yaliyogonga vichwa vya habari mwaka 2020

shatisuruali

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
921
Reaction score
2,842
Cheers!

Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kwa kuendelea kuruhusu mpaka sasa pumzi ipite katika virija vya mwili huu.

Tukiwa tunakaribia kufunga mwaka 2020 karibu tutiririke mambo mbali mbali na matukio muhimu yaliyotokea mwaka huu (2020) katika maeneo mbali mbali hapa nchini na hata duniani yanayotuhusu watanzania.

Kama utaweka kapicha na tarehe/mwezi tukio lilipotokea utakua umetisha.

......
 
Nilitegemea ungeanza na wewe na list yako ya matukio kadhaaaa
 
Kipigo Cha mbwa koko walichokipata CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu na kukimbilia ughaibuni kuomba hifadhi
 
Nadhani Kifo cha Mh. Rais wa Awamu ya Tatu. Majonzi yalitawala.
 
Back
Top Bottom