Uzi maalum: Aina mbalimbali za wateja wa ajabu ajabu maofisini na madukani

Hahaha...hizo zote nimekutana nazo na haswa kwa sisi mafundi computer ... Utasikia "fundi naomba usibadilishe chochote humo ndani maana nyie mafundi matapeli kama nin". Mara nyingi mteja akitoa maneno ya kunikera huwa namwambia tu achukue akatengeneze kwengine.
 
Utajiuliza kwanini wakiwapelekaga wagonjw wao hospital hawawaambiagi madaktar
 
Unatakiwa ujiulize kwanini hajaenda kwa Yuleyule JOHN anakuja kwako JOSEPH
Upuuz TU anakua anataka kukutisha,

hapo huwa simkopeshi kabisa maana keshantibua tayar.
 
Wengine nao wanalazimisha uwapunguzie bei eti wataenda kukupigia debe ulichowauzia ili upate wateja 😂😂 Nawaambiaga nina mtu tayari nimemwajiri kwajili ya hio kazi
 
Wateja wababaishaji,,awa ndo wale wateja wanakuja mnapanga kabisa Mzigo au mmeshapiga kabisa hesabu anasema anakuja alafu ndo jii...
 
🤣🤣🤣🤣
Aiseee!!
Hii inanikumbusha miaka hiyo kuna Teja mitaa ya Upanga makaburini, upande wa Buddhist Temple ambae familia iliamua kumfungulia genge yaani kibanda cha kuuza mbogamboga
Wateja wengi ni wakina mama basi wakija pale wanachagua nyanya wanaziminyaminya, yeye saa hiyo amedevela kinoma, hata kama mteja ndio amefika kwenye kibanda, yeye anazania alikuwepo hapo muda mrefu anashishika nyanya na mbogamboga
Akikurupuka unamskia wewe mama bado unaziminyaminya hizo nyanya, umejisahau unadhania hizo pumbu za mume wako
Wateja wote walikata matunda na mboga zinaozea kidandani, yaani yeye ilikuwa akiuza fungu kadhaa huyo anafunga kibanda anapepea zake ya mitaa Fire kujidunga🤣
 
Huwa wanatia hasira sana.....Kuna mmoja alikuja kuchagua viatu alijaribu kila kiatu na vikamtosha,utasikia embu hicho....unamshushia embu hicho unampatia Kama nususaa then ananiambia atakuja siku nyingine mamaaeee nilitaka kumtoa meno
Hiyo tabia wanayo sana dada zetu wa uswahilini. Anamsimamisha muuza viatu anapima kila kiatu kumbe mfukoni ana 700 tu ya kununulia unga nusu na robo.
 
Mwisho wa siku anakua anamuangalia machoni muuza viatu, akitepeta tu analiwa
 
Huwa wanatia hasira sana.....Kuna mmoja alikuja kuchagua viatu alijaribu kila kiatu na vikamtosha,utasikia embu hicho....unamshushia embu hicho unampatia Kama nususaa then ananiambia atakuja siku nyingine mamaaeee nilitaka kumtoa meno
Aisee, Mimi kama sina mpango wa kununua iwe viatu au nguo hua siendi kabisa dukani kuulizia
 
Unaweza kuuliza but siyo kuanza kupatana kabisa wakati huta hata mia mbovu
 
Humu ndani mbona mnaongea as if wote ni watoa huduma? Hamna Wateja kichefuchefu umu?
Mim ni mteja kichefuchefu, nikinunua Nyanya kwenye DOSHO wauzaji hua wanakoma na mim, najipimia nyanya nazichomeka mojamoja afu zikijaa nashikilia kwa mikono adi Muuzaji ananiambia Blaza basi huo sio Upimaji. Afu apo bei tumeshashushana sana. Kama anauza Dosho shs 500 mi ntamshusha adi 300 au 400. Wauza nyanya wengi wananijua adi tumekua marafiki
Anyway wakat mwingine Mteja ukiwa Fala unaibiwa sana ndo mana nyie Wauzaji/watoa huduma mnatuona sisi Wateja kichefuchefu, ata sis wateja tunawaona nyie Watoa huduma/wauzaji ni kichefuchefu vilevile
 
Ndiyo maana wanakuwekea manyanya lonya lonya
 
Kuna wale wanakuja kuuliza bei ili wakanunue sehemu nyingine
Huyu Mimi kabisa.
Lakn dhumuni kutafuta unafuu,wala si kuulizia bei tu (window shoping).
maana kuna wafanyabiashara wanatafuta faida kubwa, na ukiingia kichwa kichwa anakupiga bila huruma.
 
Back
Top Bottom