davejillaonecka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 697
- 749
Utajiuliza kwanini wakiwapelekaga wagonjw wao hospital hawawaambiagi madaktarHahaha...hizo zote nimekutana nazo na haswa kwa sisi mafundi computer ... Utasikia "fundi naomba usibadilishe chochote humo ndani maana nyie mafundi matapeli kama nin". Mara nyingi mteja akitoa maneno ya kunikera huwa namwambia tu achukue akatengeneze kwengine.
Upuuz TU anakua anataka kukutisha,Unatakiwa ujiulize kwanini hajaenda kwa Yuleyule JOHN anakuja kwako JOSEPH
Hiyo tabia wanayo sana dada zetu wa uswahilini. Anamsimamisha muuza viatu anapima kila kiatu kumbe mfukoni ana 700 tu ya kununulia unga nusu na robo.Huwa wanatia hasira sana.....Kuna mmoja alikuja kuchagua viatu alijaribu kila kiatu na vikamtosha,utasikia embu hicho....unamshushia embu hicho unampatia Kama nususaa then ananiambia atakuja siku nyingine mamaaeee nilitaka kumtoa meno
Mwisho wa siku anakua anamuangalia machoni muuza viatu, akitepeta tu analiwaHiyo tabia wanayo sana dada zetu wa uswahilini. Anamsimamisha muuza viatu anapima kila kiatu kumbe mfukoni ana 700 tu ya kununulia unga nusu na robo.
Aisee, Mimi kama sina mpango wa kununua iwe viatu au nguo hua siendi kabisa dukani kuuliziaHuwa wanatia hasira sana.....Kuna mmoja alikuja kuchagua viatu alijaribu kila kiatu na vikamtosha,utasikia embu hicho....unamshushia embu hicho unampatia Kama nususaa then ananiambia atakuja siku nyingine mamaaeee nilitaka kumtoa meno
Unaweza kuuliza but siyo kuanza kupatana kabisa wakati huta hata mia mbovuAisee, Mimi kama sina mpango wa kununua iwe viatu au nguo hua siendi kabisa dukani kuulizia
Ndiyo maana wanakuwekea manyanya lonya lonyaHumu ndani mbona mnaongea as if wote ni watoa huduma? Hamna Wateja kichefuchefu umu?
Mim ni mteja kichefuchefu, nikinunua Nyanya kwenye DOSHO wauzaji hua wanakoma na mim, najipimia nyanya nazichomeka mojamoja afu zikijaa nashikilia kwa mikono adi Muuzaji ananiambia Blaza basi huo sio Upimaji. Afu apo bei tumeshashushana sana. Kama anauza Dosho shs 500 mi ntamshusha adi 300 au 400. Wauza nyanya wengi wananijua adi tumekua marafiki
Anyway wakat mwingine Mteja ukiwa Fala unaibiwa sana ndo mana nyie Wauzaji/watoa huduma mnatuona sisi Wateja kichefuchefu, ata sis wateja tunawaona nyie Watoa huduma/wauzaji ni kichefuchefu vilevile
Huyu Mimi kabisa.Kuna wale wanakuja kuuliza bei ili wakanunue sehemu nyingine