Uzi maalum kuhusu kodi/tozo/ushuru nchini Tanzania zifaazo na zisizo faa

Uzi maalum kuhusu kodi/tozo/ushuru nchini Tanzania zifaazo na zisizo faa

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Habari wananchama na wasio wanachama.

Nimeamua kuleta huu uzi kama haupo unaofanana nao tuweze kujadili

1. Kodi/tozo/ushuru kandamizi ziweze kuondolewa
2. Maoni juu ya namna ya kupata vyanzo vipya vya mapato
3. Namna za ukwepaji wa kodi/ushuru/tozo na kuweza kudhibiti.
4. Tukumbushane pia kodi za zamani
 
Binafsi urasimu na vibali kuhusu ujenzi hasa nyumba za makazi. Ile ni kama kuwaibia wananchi.

Mtu anayelipa kodi ya ardhi, kodi ya jengo vipi umlipishe kibali cha ujenzi.
 
Back
Top Bottom