Uzi Maalum: Kutafuta Marafiki, Ndugu na Jamaa uliopotezana nao katika Maisha

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Wakuu kama una Ndugu, jamaa na rafiki ambaye ulipotezana nae, hamjaonana kipindi kirefu na huna mawasiliano nae huu ni uzi wako.

Wanaweza wakawa ni jamaa na marafiki uliosoma nao, uliofanya nao kazi, mliokutana kwenye semina, na maeneo mengine.

Karibuni sana!
 
hahaha naona unataka kujua ID za watu[emoji16] [emoji16]

n0 r0se with0ut th0rn
 

Uzi nzuri naomba uongezee na WAZAZI pia, Kuna watu hawajawaona wazazi wao, ila wanafahamu mzazi wake asili yake ni eneo gani. Kupitia uzi huu anaweza kuwapata.
 
Kuna dada mmoja nilisoma nae sekondary anaitwa Nora jamani popote pale aje inbox tafadhali
 
Ngoja nitumie akaunti yangu inayomsifiaga tu sizonje ili kuwataja ninao watafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…