Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji28]jamaa anataka kunasa watuHapa pa kupita tuu
Umeonaa[emoji38][emoji28]jamaa anataka kunasa watu
Wakuu kama una Ndugu, jamaa na rafiki ambaye ulipotezana nae, hamjaonana kipindi kirefu na huna mawasiliano nae huu ni uzi wako.
Wanaweza wakawa ni jamaa na marafiki uliosoma nao, uliofanya nao kazi, mliokutana kwenye semina, na maeneo mengine.
Karibuni sana!
mtego huu,ohoooo[emoji23] [emoji23]Watu mna akili ya kuona mbali, mi wazo langu lote lilikuwa kumwaga wino lakini nilipoona hii sms akili ikafunguka [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Jina nimewahi liona Jackline Mashingia Facebook anaweza kuwa ndugu yako,Mtafute unaweza Pata pa kuanzia.mi namtafuta babangu..anaitwa alfred mashingia..
ukoo wao nadhani asili yake ni kirua vunjo au rombo..kilimanjaro
kama unamjua mbaba wa makamo mwenye jina hili nambie
Mm nilimuona hapa KIBITI fanya uje muonane ndunguNamtafuta Daudy Maliyamungu Z. Bashite..
Naskia ni mkuu wa mkoa huko darisalama..mkinionea mwambieni namtafuta naitwa Evans Z.Maliyamungu ni Mdogo wake
Huyu mbona yupo pale IKWIRIRI/RUFIJI we nenda kamuulizie maeneo yale utakipata unacho kitafuta mkuuNaitwa Aganza namtafuta shemeji yangu anaitwa tundulisu kwayeyote anayejua alipo
Huyu nae anamuda tu ameamia KiBITINamtafuta rafiki yangu anaitwa Maria yupo dsm.