Uzi Maalum: Kutafuta Marafiki, Ndugu na Jamaa uliopotezana nao katika Maisha


Code:
 
Naitwa Aganza namtafuta shemeji yangu anaitwa tundulisu kwayeyote anayejua alipo
 
mi namtafuta babangu..anaitwa alfred mashingia..
ukoo wao nadhani asili yake ni kirua vunjo au rombo..kilimanjaro

kama unamjua mbaba wa makamo mwenye jina hili nambie
Kuna Jina nimewahi liona Jackline Mashingia Facebook anaweza kuwa ndugu yako,Mtafute unaweza Pata pa kuanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…