Uzi maalum kwa ajili ya Mapacha.

Uzi maalum kwa ajili ya Mapacha.

katichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
2,011
Reaction score
1,181
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza , huu ni Uzi wetu maalum kabisa mapacha ( Twin's) tusambaziane upendo.

Lengo lingine ni kukukumbushana visa na matukio yaliyotukumba na yanayotukumba katika maisha yetu.

Mapacha karibuni tusambaziane upendo.

NB: Hakuna Kulwa bila Dotto.
 
Ndiooo maana naitwa K-Star .


Najivunia kuwa KULWA ( Mapacha)
 
Mapacha Kushare Dude Au Papuchi Nasikia Kawaida Kwenu Na Mnafanya Kusudi
 
Black Woman Pole,je We Ni Kulwa Au Doto?
 
Sie ni triplets wawili identical mmoja fraternal.....
Napenda mapacha pia lakn wawili tuu nliambiwa tulipokua wadogo tulisumbua sanaa
 
Back
Top Bottom