Uzi Maalum kwa timu za Afrika zilizofuzu kuenda Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi

Uzi Maalum kwa timu za Afrika zilizofuzu kuenda Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
NIGERIA

Ikicheza mbele ya mashabiki wake wengi Nigeria imewachapa Zambia Chipolopolo goli 1 kwa 0 likifungwa na Alex Iwobi dakika za lala salama kipindi cha pili.

La kufurahisha kwamba Nigeria imeachana na kamati za Ufundi zisizo za maana baada ya mchezo Kumalizika Kipa wa Nigeria alionyesha Rozali yake takatifu kuonyesha ushindi wao umechangiwa na maombi

Hongera Nigeria tukutane kwa Putin 2018
================================================================================

EGYPT

Kufuatia ushindi wa jioni dhidi ya Congo (Brazaville) wa mabao 2-1,timu ya taifa ya Misri imefuzu na kutinga katika fainali za kombe la dunia. Misri ilipata goli la ushindi dakika ya 90 kwa mkwaju wa penati.

Mabao yote ya Misri yalifungwa na Mohamed Salah. Kimahesabu,ingawa imebaki mechi moja,alama 12 za Misri haziwezi kufikiwa na Uganda yenye alama 8 kwasasa. Kwa miaka ya karibuni,Misri ilikuwa ikipokwa tonge mdomoni na Algeria ambao hawakufuzu.
 
Unakapanga ka Kichuya unategemea nini,mtu anapeperushwa na upepo atapapambana na akina Mahrez?
 
duuuu yaani mechi ya kirafiki kadi nyekundu mbili nimewaza hivi huyu refa angepangwa pambano la chelsea vs mancity then Nigeria vs Zambia maskiniiii bongo
 
Mafarao pigeni goli 100 hao Congo. Nitafulahi mno endapo egypt atatinga uruc. The great team in africa,,Farao


1 Egypt Man
2 Tunisia
3 Morocco
4 Nigeria

Naiombea moja wapo itinge fainali wazee.



Vivaa Egypt man.
 
Mafarao pigeni goli 100 hao Congo. Nitafulahi mno endapo egypt atatinga uruc. The great team in africa,,Farao


1 Egypt Man
2 Tunisia
3 Morocco
4 Nigeria

Naiombea moja wapo itinge fainali wazee. Lakini Nigeria nawac wac nayo mno hatofika mbali.



Vivaa Egypt man.
We utakua mwarabu kama sikosei
 
We utakua mwarabu kama sikosei

Kwaiyo a2takiwi kushabikia timu za waalabu mkuu????

Au kwa sababu wao ni weupe na cc ni weusi kana kwamba 2siwashabikie bwana!!!! Most of them humu jamiiforums wangetamani egypt apite mmoja wao ni mimi Otterhound.
 
Back
Top Bottom