bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
NIGERIA
Ikicheza mbele ya mashabiki wake wengi Nigeria imewachapa Zambia Chipolopolo goli 1 kwa 0 likifungwa na Alex Iwobi dakika za lala salama kipindi cha pili.
La kufurahisha kwamba Nigeria imeachana na kamati za Ufundi zisizo za maana baada ya mchezo Kumalizika Kipa wa Nigeria alionyesha Rozali yake takatifu kuonyesha ushindi wao umechangiwa na maombi
Hongera Nigeria tukutane kwa Putin 2018
================================================================================
EGYPT
Kufuatia ushindi wa jioni dhidi ya Congo (Brazaville) wa mabao 2-1,timu ya taifa ya Misri imefuzu na kutinga katika fainali za kombe la dunia. Misri ilipata goli la ushindi dakika ya 90 kwa mkwaju wa penati.
Mabao yote ya Misri yalifungwa na Mohamed Salah. Kimahesabu,ingawa imebaki mechi moja,alama 12 za Misri haziwezi kufikiwa na Uganda yenye alama 8 kwasasa. Kwa miaka ya karibuni,Misri ilikuwa ikipokwa tonge mdomoni na Algeria ambao hawakufuzu.