kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,977
Mkuu nimecheck hapa kundi la Ivory coast na Morocco hakuna aliyepita wanasubiri wauwane mechi za mwisho hivyo hivyo kwa Tunisia na Algeria ingawa mbwea wa jangwani nafasi yao ni finyu sana hope Tunisia wanaweza kupita,Sina hakika nipe muda nicheck nakujulisha
Rubeny ndo pekeake amebak
Kuibeba ile tim aiseeee
Italy nao wanasuasua
Sasa wanasubir kupangwa kwenye
Game za mtoano cjui Kama
Watabahtka kupita
Naona nibak tu na Germany yang
Italy wanakipiga kwenye playoff wanaweza vuka,Yeah ni ROBBEN ndie anaibeba tim. Van persie cjui alipoteleaga wapi!!! last time nakumbuka alicheza fenabahce ya uturuki,,,
Kwa italy na Sweeden zote muhimu aise sio wakukosa world cup. Zaidi ningetamani italy wapite,,,coz wana majembe mengi mno.
Hv Iran na saudia Arabia
Zmefwata nn huko world cup
Maana co gan yao hao
Italy wanakipiga kwenye playoff wanaweza vuka,
Watapita tu maanake walikuwa nyuma ya Spain,Okay. Nawaombea kila la heli wapite.
Sasa purtin c atawaangamizaNia yao walipuane wakikutana π
Huku king salman,,,huku Rouhani. Nani mbabe π
Aiseee mm naomba tu Italy wavukeYeah ni ROBBEN ndie anaibeba tim. Van persie cjui alipoteleaga wapi!!! last time nakumbuka alicheza fenabahce ya uturuki,,,
Kwa italy na Sweeden zote muhimu aise sio wakukosa world cup. Zaidi ningetamani italy wapite,,,coz wana majembe mengi mno.
Sasa Libya watafuata nn hukoMkuu Kiatu Kipya,,,Tunisia morocco na libya wamepita???
Sasa Libya watafuata nn huko
Maanake wana wapelekea tu
Watu point za bure
Na huyu mwingine saudiarabiaTeh teh teh nakweli aise π
Vita imewavuruga sana ila isingekuwa hivyo wangeonyesha maajabu sana wako vizuri tofauti na sisiSasa Libya watafuata nn huko
Maanake wana wapelekea tu
Watu point za bure
Na huyu mwingine saudiarabia
Huyu fan yake n kuchinja tu
Watu shingo
Yaaah lkn vta ndo iliwaharbuVita imewavuruga sana ila isingekuwa hivyo wangeonyesha maajabu sana wako vizuri tofauti na sisi
Vita imewavuruga sana ila isingekuwa hivyo wangeonyesha maajabu sana wako vizuri tofauti na sisi
Hyo hyo vita ndo iliangushaLibya wako vizuri,,,vita imewachangana mno
Haa haa haaJamaa yake ndo ivo kamguaya bwana puttin π "TRUMP"
Hyo hyo vita ndo iliangusha
Soka la misri
Africa kusin hawana vita
Wana Aman lkn wamedorora
kama taifa stars na tff