nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
north korea hawajafudhu mkuuToa Saudi Arabia weka North Korea hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
north korea hawajafudhu mkuuToa Saudi Arabia weka North Korea hapo.
Uholanz wameharbu furaha yangArgentina wanataka kuniangusha aise. Ni Timu pekee naipenda sana sana ktk ulimwenguni huu wa soka.
Toa usa weka iran hapo. Ngoma droo,,,hapa kiduku hapa rouhani
Umechanganya madesa mkuu USA ndio alikufa hiyo game,Kuna mwaka nadhani ilikuwa 1998, Iran alikuwa kundi moja na USA, USA alishinda 2 - 0, uzuri michezo inaunganisha sana, hata kama mna bifu kiasi gani, uhasama unakaa pembeni muda wa game.
Umechanganya madesa mkuu USA ndio alikufa hiyo game,
Wako na spirit na committed sana wale waarabu ni bora wameingia kabisa nikikumbuka confideration cup ya mwaka 2010 SA,Brazil walitota kwa droo ya mbindeKwaiyo a2takiwi kushabikia timu za waalabu mkuu????
Au kwa sababu wao ni weupe na cc ni weusi kana kwamba 2siwashabikie bwana!!!! Most of them humu jamiiforums wangetamani egypt apite mmoja wao ni mimi Otterhound.
Hahahahaaaa nimekusomaNaomba litokee kundi kama hili WORLD CUP 2018
USA
RUSSIA
IRAN
SAUDI ARABIA
hapa kutakua na zaidi ya burudani
2010 walicheza South Africa kuna mtu anaitwa Tae Se ni halaa ,alimkimbiza Marconi wa Brazil na akafunga bao.hivi, north korea hawachezi mpira?
wordSisi kazi kusifia ujinga tu! Mara msuva sijui samatta anajua....iko wapi? Tutabaki kushangilia wenzetu kila siku.
Wako na spirit na committed sana wale waarabu ni bora wameingia kabisa nikikumbuka confideration cup ya mwaka 2010 SA,Brazil walitota kwa droo ya mbinde
Tutaona uwezo wao kwa karibu kabisa mpaka kufikia 2018 watakuwa na mabadiliko makubwaKabisa aise.
hahahaaaaa hii hizo mechi zitachezwa bila mashabiki kwa usalama wao,Naomba litokee kundi kama hili WORLD CUP 2018
USA
RUSSIA
IRAN
SAUDI ARABIA
hapa kutakua na zaidi ya burudani
Uholanz wameharbu furaha yang
Cjui hii nchi ilipatwa na nn
Tim imekua mbovu kama taifa stars
Tutaona uwezo wao kwa karibu kabisa mpaka kufikia 2018 watakuwa na mabadiliko makubwa
Ni transition time nadhani pia walijisahau kuwekeza kwa vijana kama German wanavyofanya mipango yao toka enzi za kina Karl Heinz na Franz Beuckebaur mpaka generation ya kina Oliver Berhoff na Kahn mpaka sasa hii ya kina Can,Sane,Julian Drexler mpira inahitaji mipangoYaani hata mimi imeniuma mno.kwa sasa timu imebaki na vitoto. Hawajitumi
Rubeny ndo pekeake amebakYaani hata mimi imeniuma mno.kwa sasa timu imebaki na vitoto. Hawajitumi
Sina hakika nipe muda nicheck nakujulishaMkuu Kiatu Kipya,,,Tunisia morocco na libya wamepita???