mberege rukiko
Senior Member
- Jul 19, 2016
- 171
- 136
Bac mkuu ni vitu hvyo dell na Samsung haya matablet makubwa na kwenye pc Kuna vdude vya mantrac cat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekaaaje??
Wengine as n afkst was kiarabu rafki angu tumekua tofaut sana na nyie wabongo tupu
Kwenye simu za HTC au Samsung kuna appl imo moja kwa moja kwenye simu inaitwa OEM skin, ni free , ukijisisajili humo waweza itrack simu yako kwani inakujulisha no mpya inayotumika na simu yako. Kwa simu aina nyingine sina hakika sana kama app zake ni free ila waweza ingia google play ukaziangalia zile za free kama zitafaa kwa simu yako.Inaitwaje, naomba unitajie
Hahajnimekugawa bure
Tupe maujuzi Mkuu...!!Kuna application unainstall kwenye simu yako ambayo inakutumia sms kila chip mpya inapowekwa hata ikiflashiwa
Kama baba angu mdogo vilee??nakumbuka kipindi niko chuo siku hiyo pale meeda sinza napata kilaji mida ya sa nne usiku kuna mdada mmoja mzuri pembeni ya meza yangu alikua ameketi peke ake nikamuomba ani join kwenye meza yangu,akaitikia wito bila hiyana tukaendelea kupata kinywaji kwa pamoja na stori mbili tatu. Haikupita hata nusu saa akaja njemba mmoja hivi hata sijui alikotokea akaniambia eti alikua akinitafuta siku nyingi kwanini natoka na demu wake..kabla hata sijamjibu nilikula kelebu moja matata kuja kukaa sawa nimebaki peke angu kwenye meza na simu(s6) niliyokuwa nimeishika mkononi sina,kilikua ni kitendo cha fasta sana kutoka nje hawaonekani kuna bodaboda akaniambia amewaona huyo jamaa na mwanamke wameondoka na bodaboda pale mda sio mrefu nikabaki nimeduwaa tu pale. Baadae nilimueleza meneja wa bar akaniambia huyo jamaa anaitwa 'van dame' ndo huwa anatumia staili hiyo kuibia watu na wengi wameshalizwa
Ndugu yangu ningekuwa nimeenda jeshini ningemfwata eeeh kisa cha kupigwa bisibisi kwa kitu cha laki 4.kumbe sometimes huwa mnakiri kuwa nyie ni wadhaifu.... mnadai haki sawa kwa nn