Uzi maalum kwa 'vitu used'

Mjasiri na Mali

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2017
Posts
5,366
Reaction score
14,167
Nimeona sio jambo baya Kama tukawa na Uzi maalum kwa ajili ya kuuza vitu used especially vitu vya ndani pia ikumbukwe gharama ya vitu used inakuwa nafuu kwa mnunuaji.

Kama hali ilivyo kuwa ngumu, kuna wengine wanakimbia mjini na kuuza vitu vya ndani, wako wanaobadilisha furniture na kuweka mpya na wanaohama kikazi au kwa sababu maalum.

Huu ndio utakuwa uzi wetu Wa kutangaza vitu tunavyouza pia kama unahitaji unaweza kusema wadau wakatafuta.

Kitanda, godoro, meza, stuli, fridge, TV, radio, deki, kabati la nguo na vyombo, zulia, sofa, pasi, jiko la gas na umeme , vyombo vya ndani, vyombo vya maofisini n.k

Utaratibu utakuwa; utaweka kitu unachouza yaani picha ya bidhaa yako na bei yake ukiweza kuandika namba ya simu itakuwa vizuri zaidi na mahali ilipo bidhaa.

Kama una usafiri wa bure kwa mteja (free delivery) utatuambia wanajukwaa, huu uzi kwa ajili ya wauzaji na wanunuaji wa kweli kama hauko serious tuache wenye kuelewa vitu used au wanasema asiyehusika na shoo akae pembeni,


Sofa la L 360,000
Dryer 200,000@1
Kabati la nguo mbao ngumu200,000
Fridge hotpoint480,000
Bakuli2000@1
Glass4000
Sahani3000@1
Tvshowcase230,000
Brenda60,000
Jiko pamoja na mtungi wake220,000

Vyote vinapatikana tabata bima
 

Attachments

  • IMG-20180912-WA0019.jpg
    68.5 KB · Views: 275
Subwoofer iko vizuri
Memory card
Flash FM radio
Remote control
Kasoro Bluetooth
140,000
 
Samsung LCD
Kitako cha Chini haina Ila nakupa bracket ya ukutani
Remote haina
330000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…