Uzi maalum kwa 'vitu used'

Uzi maalum kwa 'vitu used'

Kitanda cha chuma 5×6..
Ktanda 350000
Godoro inch 8 ..200000
20180915_165258.jpg
 
Acha upumbavu wewe.viwe vyake au ni dalali sio muhimu kujua kwa sasa wala haisaidiii hata ukijua...peleka ujinga wako MMU hapa hapakufai
Mkuu mbona povu ye mbona kanijibu vizuri tu aisee? Maana mi nilielewa kwenye mwanzo wa uzi wake kwamba mtu mwenye bidhaa zake analeta kuuza,sasa nikashangaa yeye analeta bidhaa nyingi kuliko kawaida nikawaza labda kumbe hata ukiwa na bidhaa au unachukua sehemu kuja kunadi humu nayo ni sawa,sasa we shida yako iko wapi mkuu mpaka povu lote hilo?

Na nimuombe tu mtoa mada ikibidi abadilishe huko juu kuwa hata ukiwa dalali unaruhusiwa kuja kutangaza bidhaa huku alimradi watu wapende na wanunue
 
Hakuna mipaka Uzi ni wa vitu used kama una bidhaa tupia jamvini
 
Mkuu mbona povu ye mbona kanijibu vizuri tu aisee? Maana mi nilielewa kwenye mwanzo wa uzi wake kwamba mtu mwenye bidhaa zake analeta kuuza,sasa nikashangaa yeye analeta bidhaa nyingi kuliko kawaida nikawaza labda kumbe hata ukiwa na bidhaa au unachukua sehemu kuja kunadi humu nayo ni sawa,sasa we shida yako iko wapi mkuu mpaka povu lote hilo?

Na nimuombe tu mtoa mada ikibidi abadilishe huko juu kuwa hata ukiwa dalali unaruhusiwa kuja kutangaza bidhaa huku alimradi watu wapende na wanunue
Samahan niliona kama unaleta utani wataka haribu post..story mkuuu nimeteleza
 
Back
Top Bottom