Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
natafuta sofa la watu wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss kula 120Sofa La watu wawili yako pea mbili
@160,000View attachment 878330
Mkuu umeshuka Sana mzigo bado mpyaBoss kula 120
Du mkuu hii aina ya Music bado ipo? Goma lake usipime
Chukua 200k
Imeshauzwa mkuuChukua 200k
Noma sana muziki uko powaDu mkuu hii aina ya Music bado ipo? Goma lake usipime
Naukubali sana, nakumbuka niliununuaga na Boom la chuo mwaka 2006, japo niliugawa ila mpaka sasa upo unapiga kazi balaa, ni mjerumani huyoNoma sana muziki uko powa
Naukubali sana, nakumbuka niliununuaga na Boom la chuo mwaka 2006, japo niliugawa ila mpaka sasa upo unapiga kazi balaa, ni mjerumani huyoNoma sana muziki uko powa
Bado ipo?
Specificatios? Battery life?Bei 280,000/= Lenovo View attachment 866946
Umeandika elfu kumi bhana acha ubishi... nenda karekebishe,,,, mbishi kama Muha bhanaElfu kumi ina sifuri ngapi na laki ina sifuri ngapi au unajitoa ufahamu
Kiti na meza
45000View attachment 880141