Uzi maalum kwa 'vitu used'

Inahitajika subwofer au home theatre 300w
Offer yangu 100000
Nipo Iringa
 
Uzi safi sana, ila mwenye uzi jitahidi kutambua lugha za wateja na uwavumilie ndio biashara ilivyo!
 
Nauza simu Samsung J1 ace
Haina tatizo lolote kabisaaa
Inauzwa kwasababu kuna simu mpya kubwa imenunuliwa
Earphones zake zimeharibika
Kuna simu, chaja na cover la nyuma.

Pia ina glass protector ambayo ina nyufa ndogondogo
Bei laki 120
Kama upo Dar sehemu ambako panafikika kirahisi nitakuletea mzigo ulipo

Mawasiliano 0652884040
 
Hello nina vitu vya saluni hapa
Kuna kiti cha mteja kunyolewa
Na wateja kusubiri wanakaa watatu
Na mashine aina ya wahl
Na feni size ya kati
Call/txt;0712654515
 

Attachments

  • FECD15E8-B5A2-4475-91B1-CD7051A7FB5D.jpeg
    383.7 KB · Views: 61
"INAUZWA"
Kabati ya TV, imetengenezwa kwa mbao ya mninga.
Inakaa tv ya inch 32 au 40, pia ina sehemu ya kuweka subwoofer.
Bei 200k
Ukihitaji unaweza ukani PM
 
"INAUZWA"
Sofa ya soft leather
Ipo seti moja ya kukaa watu saba
Iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana
Bei ni 900k
Ukihitaji unaweza ukani PM
 

Attachments

  • image.jpg
    237.3 KB · Views: 74
"INAUZWA"
Feni ya Evernal
Iko kwenye hali nzuri
Bei 30,000
Ukihitaji unaweza ukani PM
 
Mwenye tablet anicheki bajet 150,000 hata isiyo tumia line poa. 0625711384 whatsapp
 
Ninatafuta mini projector inayofanya kazi vizuri. Kama kuna alienayo PM tafadhali
 
Niu
Niuzie me mtungi was ges
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…