Uzi maalum kwa 'vitu used'

Mashine ya maxmalipo ni mpya kabisa haijatumika Tshs 450,000/= Kwa muhitaji anicheki PM.IPO Kijichi
 
Tekno y3plus nauza 65,000
Karibuni haina tatizo lolote maongezi yapo,no 0657438581 nipo dar
 
Habari ndugu..
Nauza SINSUNG FLAT SCREEN TV, inch 25..
Bei 200000/=..
Ni sawa na mpya, nauza sababu ninahama mkoa..
0765050591..
 
Xiaomi Mi Max, nataka laki 4, ni 128 gb, ram 4gb, betri 4850 mAh, display inch 6.44, camera 16 kwa 5, inakaa sana na charge, niko dar, simu 0714495367.0768859089, bei Tsh 400,000/=, niko dar,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…