Uzi maalum kwa 'vitu used'

Uzi maalum kwa 'vitu used'

wakuu humu naona kuna watu wqnatakiwa wasogezwe hospital pendwa pale dodoma
 
[emoji3][emoji3][emoji3] ..Sawa bosi ndio utoe tiketi ya kutupeleka Mirembe Kweliii,Anyway Bei zinazungumzika Boss Kariibu sana
ingawa ukweli huwezi kupata brands New dukani kwa bei tulizoweka.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
pia ni vizuri kununua kusipo na gharama kama anaona huku gharama ziko juu kuliko kusema watu wapelekwe mirembe..😂😂😂
 
[emoji3][emoji3][emoji3] ..Sawa bosi ndio utoe tiketi ya kutupeleka Mirembe Kweliii,Anyway Bei zinazungumzika Boss Kariibu sana
ingawa ukweli huwezi kupata brands New dukani kwa bei tulizoweka.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] inaonekana unapenda 400k .
Shusha bei 300k nije hapo mabibo nifate hiyo pc
 
[emoji23][emoji23][emoji23] inaonekana unapenda 400k .
Shusha bei 300k nije hapo mabibo nifate hiyo pc
[emoji3][emoji3][emoji3]....Chief najua zipo kali na higher specs za laki tatu ila hii pc mali yangu halali gharama niliyonunulia miaka kadhaa iliyopita ni Tsh.1,300,000 as brand New...considering depriciation factor nimeishusha hadi laki nne,which is very reasonable price.na nakupa ikiwa loaded na softwares,books or movies it depends na interest yako.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
King'amuzi (Receiver) kipya cha Canal+ kimelipiwa mwezi mmoja kifurushi cha michezo. Kina remote, HDMI na AV cable. Nakiuza kwa 120k tu.
Mawasiliano 0629439450 popote natuma.View attachment 2011162View attachment 2011163
IMG_20211115_114715_332.jpg
 
Back
Top Bottom