NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,660
Nipe 35k nikuachie hiiMe nataka pasi used wakuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe 35k nikuachie hiiMe nataka pasi used wakuu.
Budget yangu 15K mkuu hiyo sio level zangu.Nipe 35k nikuachie hiiView attachment 942056
frij kula 250 mkuu nipo tabata piaNimeona sio jambo baya Kama tukawa na Uzi maalum kwa ajili ya kuuza vitu used especially vitu vya ndani..pia ikumbukwe gharama ya vitu used inakuwa nafuu kwa mnunuaji
Kama hali ilivyo kuwa ngumu.kuna wengine wanakimbia mjini na kuuza vitu vya ndani, wako wanaobadilisha furniture na kuweka mpya na wanaohama kikazi au kwa sababu maalum
Huu ndio utakuwa Uzi wetu Wa kutangaza vitu tunavyouza pia Kama unahitaji unaweza kusema wadau wakatafuta
Kitanda ,godoro, meza, stuli, friedge,tv,radio,deki, kabati la nguo na vyombo, zulia, sofa, pasi, jiko la gas na umeme ,vyombo vya ndani, vyombo vya maofisini n. K
Utaratibu utakuwa; utaweka kitu unachouza yaani picha ya bidhaa yako na bei yake ukiweza kuandika namba ya simu itakuwa vizuri zaidi na mahali ilipo bidhaa
Kama una usafiri Wa bure kwa mteja (free delivery) utatuambia wanajukwaa..huu uzi kwa ajili ya wauzaji na wanunuaji wa kweli kama hauko serious tuache wenye kuelewa vitu used ..au wanasema asiyehusika na shoo akae pembeni
Sofa la L 360,000
Dryer 200,000@1
Kabati la nguo mbao ngumu200,000
Friedge hotpoint480,000
Bakuli2000@1
Glass4000
Sahani3000@1
Tvshowcase230,000
Brenda60,000
Jiko pamoja na mtungi wake220,000
Vyote vinapatikana tabata bimaView attachment 865975View attachment 865976View attachment 865977View attachment 865978View attachment 865979View attachment 865980View attachment 865982View attachment 865983View attachment 865984View attachment 865986View attachment 865987View attachment 865990View attachment 865991
kama ipo nicheki mkuu ila bei ipungue kiasi
Samsung s6 edege
Camera ya nyuma 16mp
Camera ya mbela5mp
32Gb
Haingii maji
Ina crack kidogo kwenya mfuniko Wa nyuma
View attachment 866777View attachment 866778View attachment 866779
LG Led Tv og, 24 inch...bei 350,000/= Nipo Dumila 0762-487826
Me nataka pasi used wakuu.
Kweli kabisa..Hiz bei ni zaidi ya dukani kabisaaa..
njo pm mkuuMwenye
kiti cha saluni ya kiume
Vioo
Mlango wa almnium
Vifaa vya saluni ya kiume
Tuchekiane
Unapatikana wapiINAUZWA
HUAWEI GR5 DUAL SIM
Display 5'5 inches
[emoji419]Network 4G
[emoji419]Ram 2GBP
[emoji419]Storage 16gb
[emoji419]Camera 13Mp with LED flash
[emoji419]Selfie 8Mp
[emoji419]Battery 3000mAh
[emoji419]Fingerprint sensor
[emoji419] condition used mwezi 1
Bei 250,000/-
Exchange[emoji736]View attachment 948343View attachment 948344
Nichek tufany biasharaStar X inchi 32 bei ni sawa na bure 280000/=View attachment 931716
Asus yashuka?