sajosojo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 1,021
- 636
Unahitaji yenye specifications zip? Na bajet yako ni bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahitaji yenye specifications zip? Na bajet yako ni bei gani?
ukiuza huo mpyatilo kwa 20k njoo nkuongeze 20k nyingineSimu hiyo aina ya Itel
Inakaa na chaji sana
Ina fm radio
Bei ni tsh 20,000 tu fixedView attachment 1364857View attachment 1364858
No 0657438581/0737446481
Karibuni nipo dar
Wapo watu wawili wanaitaka wewe si unaona mpyatilo
sawa ukishauza hiyo 20k njoo nkupe 20k nyingineWapo watu wawili wanaitaka wewe si unaona mpyatilo
Kimfaacho mtu chake
Kila lakheri.Simu hiyo aina ya Itel
Inakaa na chaji sana
Ina fm radio
Bei ni tsh 20,000 tu fixedView attachment 1364857View attachment 1364858
No 0657438581/0737446481
Karibuni nipo dar
Specifications zako na bei yako inaanzia ngap?
nauza laptop acer
Bado lipo?Kabati hilo la mbao ngumu kwa 150k
Liko Mkuranga town
Kwa maelezo zaidi piga 0687 089980
Usafiri juu yakoView attachment 1242947
picha mkuuYa kusimama au pangaboi... km pangaboi ipo imetumika few months aina ya usher bei 40.
Sent from my iPhone using JamiiForums
picha mkuu
mapanga zaizi ya kati au makubwa kabisa?Picha sina maana nko mbali nalo ila km u interested unaeza kuja pm tufanye biashara. Feni la pangaboi la usher size ya kati mkuu linajulikana. Nililifunga kwenye frame ya biashara baadae nkalitoa lipo tu store.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimeinunuwa mimi tayari!
Kwa bei yake elekezi ya 50,000 hata mimi akikushtuwa nijuzeUkipata nijuze
Samsung LCD
Kitako cha Chini haina Ila nakupa bracket ya ukutani
Remote haina
330000View attachment 866774View attachment 866776