Uzi maalum kwa 'vitu used'

Uzi maalum kwa 'vitu used'

Nauza kitanda na godoro lake Arusha.
Kitanda 5*6 =160,000 tu
Godoro inches 6 = 120,000

Pia kuna meza, gas na vyombo!!
Mwenye uhitaji anicheki +255759961012 tuyajenge
 

Attachments

  • IMG_20201019_072746.jpg
    IMG_20201019_072746.jpg
    75.9 KB · Views: 12
  • IMG_20201019_072819.jpg
    IMG_20201019_072819.jpg
    29.5 KB · Views: 11
  • IMG_20201027_215448.jpg
    IMG_20201027_215448.jpg
    48.5 KB · Views: 10
  • IMG_20201027_215526.jpg
    IMG_20201027_215526.jpg
    48.9 KB · Views: 10
  • IMG_20201027_215557.jpg
    IMG_20201027_215557.jpg
    45.1 KB · Views: 10
  • IMG_20201027_215719.jpg
    IMG_20201027_215719.jpg
    42.3 KB · Views: 12
Nauza godoro 4*6, feni ,meza ya kusomea, mtungi mdogo wa gas ambao gesi imeisha upo complete, viti viwili vya plastiki, friji ndogo ya mlango mmoja hot point , vyote kwa laki 3 na nusu:
NB: maongezi ya kitu kimoja kimoja yapo
Mawasiliano 0621691806
Weka picha ya hivo vitu hapa, hasa meza ya kusomea na feni. Halafu semeni mko wapi. Mkoa gani
 
Back
Top Bottom