Uzi maalum kwa wa mama wa kambo

Uzi maalum kwa wa mama wa kambo

Ndugu wa mme wanakela, wengine n wakubwa na vijidevu lakn wanashinda hom wakati huko kjjn kuna kazi nyingi sana za kufanya
 
Swalo gumu sana kwao maana wengine hawajui kama wanatabia hiyo wanaona wapo sawa tu.
 
Uzoefu unaonesha ni kwamba si wote wako hivyo ni wanawake wachache wenye hizo matabia mbaya
Hata hivyo Mwenyezi Mungu alivyo na maajabu yake utakuta huyo mtoto wa kufikia ndiye huvuviwa baraka za kuwa mtoto mwenye mafanikio kuliko hao wa kwake anaowazaa akiwa humo kwa nyumba
Hii hutokea kwa sababu ya kudekezwa kwa wanawe kuliko huyo ambaye huwa habembelezwi kama wenzie
Na mwishowe mtoto hukuzwa kwa kujisimamia mambo yake mwenyewe na kumjengea kujiamini tokea utotoni mwake kwa sababu anajua hapati yale mapenzi ya dhati kama wenzie wanavyopata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom