Uzoefu unaonesha ni kwamba si wote wako hivyo ni wanawake wachache wenye hizo matabia mbaya
Hata hivyo Mwenyezi Mungu alivyo na maajabu yake utakuta huyo mtoto wa kufikia ndiye huvuviwa baraka za kuwa mtoto mwenye mafanikio kuliko hao wa kwake anaowazaa akiwa humo kwa nyumba
Hii hutokea kwa sababu ya kudekezwa kwa wanawe kuliko huyo ambaye huwa habembelezwi kama wenzie
Na mwishowe mtoto hukuzwa kwa kujisimamia mambo yake mwenyewe na kumjengea kujiamini tokea utotoni mwake kwa sababu anajua hapati yale mapenzi ya dhati kama wenzie wanavyopata
Sent using
Jamii Forums mobile app