Habari za mda huu ndungu zangu. Huu ni uzi maalum kwa wanaohitaji kununua magari kutoka Japan na ushauri wa kuwapa wanatoka kununua magari kutoka Japan. Je unaangalia kitu gani kununua gari kutoka japan
Gari zote ni nzuri ila itagemeana na budget ya mteja na matumiz ya mteja kwa mfano watumiaje wengi wa uber wanapenda Ist zenye cc ndogo na pia ni gari ngumu kulingana na mazingira ya kazi yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.