mkuu mi naomba kujuzwa ni jinsi gani naweza jua kiwango cha characters kwenye vito vya dhahabu.mfano hereni,cheni,pete n.k ?Hii nikwaajili ya kupeana habari zinazo husiana na issue yetu (Madini)
Kama we ni mchimbaji ama ni mnunuzi wa madini popote ulipo kwenye dunia hii unaweza kuchangia mada yoyote inayo husiana na madini
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikihusiana na madini unurusiwa ku share.Hadi sisi wa Nyangalata, Nyarugusu, Magema, na Mpomvu unatuhusu?
Na wewe unajua mkuu?Karibuni ...[emoji8][emoji8][emoji8]
Kuna mahala naweka kalasha,nashirikiana na jamaa yuko maeneo ya huko tunakofunga kalasha,japo mimi ndio mtoaji kila kitu. Mawazo yako kuhusu hiliHii nikwaajili ya kupeana habari zinazo husiana na issue yetu (Madini)
Kama we ni mchimbaji ama ni mnunuzi wa madini popote ulipo kwenye dunia hii unaweza kuchangia mada yoyote inayo husiana na madini
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karasha?Kuna mahala naweka kalasha,nashirikiana na jamaa yuko maeneo ya huko tunakofunga kalasha,japo mimi ndio mtoaji kila kitu. Mawazo yako kuhusu hili
Najua nini mkuu.?Na wewe unajua mkuu?
Yaaani....! Haya ndiyo mambo yako mkuu?. Ya madiniNajua nini mkuu.?
Ndio,au?Karasha?
Man hii
Umelewa wewe..kalale kwanza🤣!Yaaani....! Haya ndiyo mambo yako mkuu?. Ya madini
Huuh....huuuuuu.....!. Chiziiiiiiii weweeeeee ujue..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Siku zote nakuuliza unanipiga chenga. Halafu weweeeeUmelewa wewe..kalale kwanza[emoji1787]!
Kwan ule mchele ulonitumia nilikuambia natoka wapi[emoji39]
Duh...mbon mara kibao tunaongea nakuambia niko Geita? Nilikuja huko chunya mara moja.....ila wewe nacheka ujueHuuh....huuuuuu.....!. Chiziiiiiiii weweeeeee ujue..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Siku zote nakuuliza unanipiga chenga. Halafu weweeee