Uzi maalum kwa wachimbaji na wanunuzi wa madini

Uzi maalum kwa wachimbaji na wanunuzi wa madini

Hii nikwaajili ya kupeana habari zinazo husiana na issue yetu (Madini)

Kama we ni mchimbaji ama ni mnunuzi wa madini popote ulipo kwenye dunia hii unaweza kuchangia mada yoyote inayo husiana na madini

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mi naomba kujuzwa ni jinsi gani naweza jua kiwango cha characters kwenye vito vya dhahabu.mfano hereni,cheni,pete n.k ?

Kama kuna mahala nimekosea basi tafadhali nisahihishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nikwaajili ya kupeana habari zinazo husiana na issue yetu (Madini)

Kama we ni mchimbaji ama ni mnunuzi wa madini popote ulipo kwenye dunia hii unaweza kuchangia mada yoyote inayo husiana na madini

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mahala naweka kalasha,nashirikiana na jamaa yuko maeneo ya huko tunakofunga kalasha,japo mimi ndio mtoaji kila kitu. Mawazo yako kuhusu hili
 
Umelewa wewe..kalale kwanza[emoji1787]!
Kwan ule mchele ulonitumia nilikuambia natoka wapi[emoji39]
Huuh....huuuuuu.....!. Chiziiiiiiii weweeeeee ujue..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Siku zote nakuuliza unanipiga chenga. Halafu weweeee
 
Huuh....huuuuuu.....!. Chiziiiiiiii weweeeeee ujue..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Siku zote nakuuliza unanipiga chenga. Halafu weweeee
Duh...mbon mara kibao tunaongea nakuambia niko Geita? Nilikuja huko chunya mara moja.....ila wewe nacheka ujue
 
Back
Top Bottom