Habari ya mda huu mkuu, uzi huu ni maalumu kwa wote wanaopenda muziki.
Kama unapenda kwaya hapa ni mahali pako tupe wanamuziki wa kwaya unaowakubali tukapakue miziki yao tupate zile ala za kupanda na kushuka kutoka nyimbo za kikatoliki.
Wale wa amapiano nanyi seat yenu ya mbele iko kwenye huu uzi.
Lakini wale wazee wa zamani tuambie ni nani alikuvutia enzi hizo Remmy Ongala au Godzilla weka majina ya miziki yao tukapakue tuskie vionjo vya zamani.
Karibu mkuu, share link za kupata miziki mizuri, majina ya miziki mizuri unayoipenda aina yoyote ya muziki huu uzi ni mahali pake.