Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kusaidia watanzania wenzangu kwa namna moja au nyingine wale wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha na kwamba wanahitaji ushauri au msaada wa aina flani ili kuweza kutatua changamoto hizo.
Kwa wale ambao wataguswa na changamoto za mtu yoyote pia ruhusu kusaidia kwa kupitia uzi huu, Kwahiyo kama unachangamoto yoyote ya kimaisha unahitaji kusaidiwa tafadhali jisikie huru kutueleza wazi kwenye uzi huu ili tuone namna ya tutakavyoweza kukusaidia. KARIBUNI