Uzi maalum kwa walio na upweke na wanaotaka kujinasua kutoka kwenye upweke

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Sikukuu njema mdau wa jf.

Ni watu wachache sana miongoni mwetu tunaoweza kuishi tukiwa pekee pamoja na kuwa ni watu tunaopenda kukaa peke yatu na kupenda hali hiyo.

Kiukweli tuliumbwa kwa ajili ya kuwa na wengine (friendship, brotherhood or close relatives) lakini upweke unasababisha inafika nyakati auhitaji.

Kuna tukio lililowahi kujiri kwa msichana mmoja huko ughaibuni ambaye alikutwa amekufa ndani ya chumba chake pale alipokuwa amepanga, kifo chake kilikuwa cha kushangaza na kusikitisha kwa sababu kadhaa, moja ni kuwa alikufa miaka 10 iliyopita.

Pili Iliwezekana vipi kwenye jiji kubwa alilokuwepo dada huyo (marehem) lenye watu wengi, tena kukiwa na njia nyingi za mawasiliano mwanamke huyo ambaye hakuwa mtu anayezurula ovyo mtaani mpaka kufikia kufa na mtu yeyote asijue?

👆 Kisa hiki ni cha kawaida sana lakini kinatoa uhalisia wa watu wengi wanaotaabishwa na upweke.

Mwaka 2016 gazeti la New York Times lilichapisha makala inayosema "Watafiti wakabiliana na mlipuko wa Upweke"

NOTE: Hebu tudadavue na tupeane mawaidha jinsi gani tunaweza kuepa hali ya upweke. -karibuni.
 
Kufanya kile kinachokupa furaha..

Mimi nachezaga games.
 
Hivi ni nin hasa hupelekea mtu kutska kuishi pekee no kujichanganya na watu wala marafiki
 
Lonely Vs Solitary

Lonely ni hali ya kuwa mpweke na kutokuwa na furaha. Kuwa lonely si uchaguzi wa mtu Bali ni hali inayomtokea mtu kutokana na sababu mbali mbali;
Mazingira, elimu, mahusiano, dini, ukabila, afya(kibaiolojia) n.k

Solitary ni upweke wenye furaha. Kuwa solitary ni choice ya mtu. Kila mtu ameumbwa kwa namna yake... Wengine wanapenda kuishi maisha ya kuwa peke yao tu na wanakuwa na furaha sana bila hata kuchangamana na mtu...

N:B Lakini pia mtu anaweza akawa lonely kwa muda, baadae akawa solitary baada ya kukubaliana na hali halisi na ku-move on maisha yakaendelea na akawa na furaha.

I STAND TO BE CORRECTED.

HAPPY EASTER TO ALL OF YOU...
 
Nip

Nipo upande huu mm
 
Kuna swali la msingi hili hapa...

Je, umeumbwa kuwa mwenyewe na vipi inapotokea jambo linalohitaji msaada muda unapojili?
 
Back
Top Bottom