Uzi Maalum Kwa Waliobakiza Materials Katika Ujenzi Au Asset Katika Project Yoyote

Uzi Maalum Kwa Waliobakiza Materials Katika Ujenzi Au Asset Katika Project Yoyote

JAMII BORA

Member
Joined
Apr 18, 2017
Posts
78
Reaction score
58
Umofia kwenu!!

Kuna muda unamaliza ujenzi na materials yanabaki, unatafuta wa kukurudishia gharama kdogo wakati ambapo kuna mdau anahitaji materials hayo hayo ulobakisha akamilishe jengo lake. Lakini Case ya pili, umemaliza project au kufunga biashara na Asset au materials yanapigwa vumbi tu hasa kipindi hiki tunahitaji pesa za kufidia changamoto za Covid-19,ni vyema ukaweka wazi materials unayohitaji au kubakiza, location yalipo, bei na details zingine utazoona muhimu ili tupunguziane changamoto ya kipato.

Naanza: binafsi, kila mwisho wa mwezi tunakuwa na laptops zimemaliza majukumu hivyo tunauza kwa bei chee mno yaani laki 2, 2 na nusu, 3 . Ukihitaji nicheki kwa 0713039875:

Wadau endeleeni.
 
Aina gani hizo laptop?

Uzi mzuri, nilikuwa nayo material maana fundi alizingua kwenye hesabu zake pamoja na kununua pungufu ya hesabu yake bado vilibaki ila tayari vimeshapata matumizi isingekuwa hivyo ningevitupia humu
 
Nawai siti nahitaji sana hivi vitu kama mbao , mbao mati, tiles , nondo kwa aliebakisha tutaongea vizuri na kukubaliana jinsi ya kumaliza haya masuala
 
Aliyebakiza mabati ya ALAF IT 5 au 4 Rangi yoyote pm plss wapendwa.
 
Ndoo nzima ya rangi ya weather guard ni lita 20 iliyochanganya maji na mafuta nimebakisha ni Ascot grey inauzwa 90000 tu.

Sir dreamcheaser
 
Ac automatic voltage regulator 5000va
Model Andeli, Ni PM to chart
 
Hongera kwa wazo hili. Yàni hii ni bonge la idea.
 
Tuna laptop za kutosha aina ya HP baada ya research kumalizika. Wahi sasa, bei ni laki 3 kwa kila moja
 
Back
Top Bottom