Uzi Maalum Kwa Waliobakiza Materials Katika Ujenzi Au Asset Katika Project Yoyote

Uzi Maalum Kwa Waliobakiza Materials Katika Ujenzi Au Asset Katika Project Yoyote

Mkuu picha tuone muonekano wake

Sent using Jamii Forums mobile app
WhatsApp Image 2020-04-23 at 12.36.07 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-04-23 at 11.54.37 AM.jpeg
 
Jmani nahitaji kufahamu kuhusu bei za bati nipaue kibanda changu, kutokana na mfuko wangu kuwa mdogo, sina changuo kwa maana nikipata za rangi ambazo ziko ndni ya uwezo wangu sawa nikipata nyeupe simba dumu sawa,..
 
Nauza vifaa vya ofisi tunabadili biashara ,kuna meza 2 za plastic @ elf 70, kuna viti 3 vya plastic @10,000 na laptop moja ya laki 3.Nicheki kwa 0713-039875
 
Simba dumu gage 30 futi 10 bando moja ni 260,000.
Ambazo zinakaa pcs 16.
Hizo za rangi zipo za 22,000 na kuendelea kulingana na kampuni.

Back
Top Bottom