Ahaha mkuu mbna unasomeka shombe la kisomariWa NYANGAO - mji mdogo tukutane hapa
ahahaMimi natoka kijiji cha Ntila, zamani ilikuwa ukipeleka pesa ya hodi/kishika uchumba umeoa tayari unapewa mke hakuna haja ya mahali na ukiachana na mke unaidai pesa ya hodi/kishika uchumba ulioitoa na unalipwa.
Ahaha mkuu mbna unasomeka shombe la kisomari
nazuga zenji mkuuMkuu, we uko pande zp .?
unatoka maeneo gani weMwee..! Mundu buli?!
Ahhhaha nimekosea mkuu nlikusudia na wilaya zakeLindi na mikoa yake????
[emoji23]sawa mkuuAhhhaha nimekosea mkuu nlikusudia na wilaya zake
tupe dondoo za ulipotokea pande hizo[emoji23]sawa mkuu
Miaka ya 80?Kulikuwa hakuna ng'ombe enzi hizo, tukiona ng'ombe tunamuita n'dudu, mnyama pekee alikuwa kondoo, nguruwe na mbwa. Mwenye nguruwe akitaka kuchinja watu wanaandikisha kwanza majina wiki moja kabla sasa itokee bahati mbaya akatishe Nyani au Tumbili katikati ya Kijiji, kijiji chote kitasimama na watu watakimbiza mpaka apatikane na akipatikana mwenye Kisu kikali ndo atakula nyama na huwezi kuona hata mavi ya utumbo wake, yaani kumbushilaga ikubho ya kumui ngunaeka sana hivi nkali nnaino iliendelea?, moga gamangwinji tangu nyabhwile.