Uzi maalum kwa wamwera wa Lindi na mikoa yake

LELELU

Senior Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
167
Reaction score
259
Wale watu wa kusini tukutane hapa sio kiukabila lakini lengo ni kufahamishana vituko vya kila mtu atokapo...

Mimi natoka nachingwea mjini. Zamani tulikuwa tunaenda kuogelea bwawani kwa Nammwela ..yani unaingia bwawani msafi lakini unatoka umebuka[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa hvyo kuepuka hii tukawa tunabeba mafuta kabisa ya kupaka ili tusijulikane nyumbani..

Karibunii!!!!!
 
Mimi natoka kijiji cha Ntila, zamani ilikuwa ukipeleka pesa ya hodi/kishika uchumba umeoa tayari unapewa mke hakuna haja ya mahali na ukiachana na mke unaidai pesa ya hodi/kishika uchumba ulioitoa na unalipwa.
 
ahaha

ntilaaa nkata pori

hatari sana mkuu
 
Wamwera. Hata Mwl Nyerere aliwajua.aliwataja kwenye hotuba yake ile ya 1995. Kilimanjaro hotel. Ile ya makabila!
 
Kulikuwa hakuna ng'ombe enzi hizo, tukiona ng'ombe tunamuita n'dudu, mnyama pekee alikuwa kondoo, nguruwe na mbwa. Mwenye nguruwe akitaka kuchinja watu wanaandikisha kwanza majina wiki moja kabla sasa itokee bahati mbaya akatishe Nyani au Tumbili katikati ya Kijiji, kijiji chote kitasimama na watu watakimbiza mpaka apatikane na akipatikana mwenye Kisu kikali ndo atakula nyama na huwezi kuona hata mavi ya utumbo wake, yaani kumbushilaga ikubho ya kumui ngunaeka sana hivi nkali nnaino iliendelea?, moga gamangwinji tangu nyabhwile.
 
Miaka ya 80?
 
Back
Top Bottom