tatzo nyimbo yenywe sijui inaitwaje, nmerecord kipande tu kutoka kene radio naitafuta kwa udi na uvumba,Unaenda YouTube after kuchagua wimbo unaenda kwenye sehwmu ya share utakuta options nyingi unachagua copy link thereafter unakuja kupaste huku jf.
Hebu jaribu hapo kwenye kuattachtatzo nyimbo yenywe sijui inaitwaje, nmerecord kipande tu kutoka kene radio naitafuta kwa udi na uvumba,
nyimbo yenyewe anapenda sana kupiga dj sinyorita wa clouds media ina fanana na dj snake learn on
inazngua nshajaribu sana kinachokubali ni picha tuHebu jaribu hapo kwenye kuattach
naomba nku pm ledada,Cc Ningendako, Jakitoo
Hii ndio ring tone rangu
shukran sanaCc massimu jr
[emoji16] [emoji16] [emoji16] huyu jamaa anavyocheza sasaCc Ningendako, Jakitoo